Messages from the Word of God by Br. David Nelson, Evangelist Available bi-monthly on cassette or CD. All materials free as the Lord provides. Messages from the Word of God by Br. David Nelson, Evangelist Available bi-monthly on cassette or CD. All materials free as the Lord provides. Kama unanifanana, unataka kujua jinsi mtu Fulani anaamini kuhusu mafunzo muhimu ya bibilia.Natumahi maneno haya machache yatakufahamisha kuhusu tunaposimama kwa haya mafunzo muhimi ya ukweli ya bibilia.   i.Bibilia. Tunaamini kwa kuambiwa na kutiwa motisha na ufunuo mpya na ule wa kale.Bibilia inasimama hadi mwisho na haina dosari.Haina makosa yoyote.Bibilia pekee ndiyo sheria ya kuaminika na kutenda.Tunaamini kifungu cha mfalme James kwa wale waongeao kizungu.1 Timotheo 3:16;1 petero 1:21’Methali30:5,Zaburi 119:89,160;Mathayo 5:18,Warumi 3:1,2.   ii.Mungu. Tunaamini mungu mmoja anayejifunua kupitia njia tatu.Baba,Mwana na roho mtakatifu.Hawa si miungu mitatu bali ni mmoja.Wako sawa,milele na wa chanzo moja.Lakini wako tofauti na wako na maumbile tofauti mbele za Mungu.        1.Mungu Baba.  Baba ni mtu bali si mfano wa wema.Ako na hisia,upendo,chuki,wivu na kadhalika.Yeye si mfano bali yu afanya kazi duniani leo.1johana1:3,Kutoka20:5,6,Nahumu 1,2,Methali 6:16-19:Danieli 2:21.         2.Mungu Mwana. Mungu mwana alikuwa na Baba siku ya mwanzo ya kuumba dunia.Alikuja kwa hii dunia na alijitoa sadaka kwa sababu ya dhambi za binadamu.Alifufuka katoka kifoni na akapanda mbinguni anapokaa katika mkono wa kulia wa Baba.Atarudi humu duniani kuchukua uzima  wa dunia.Johana1:1-14:Mathayo1:18-25,Luka 1,2;Mariko 10:45Mathayo27:1,Wakoritho15,Isaia 7:14:Tito 2:13 1 Thesalonika 4:16,Ufunuo 1:7,19:11-16;wakolosai1:15-17     3.Mungu roho mtakatifu. Roho mtakatifu ni mtu hivyo basi hafai kutajwa kama kitu.Alikuwepo wakati wakati wa kuumba dunia.Alipatia watu nguvu katika agano kuu kuweza kufanya kazi ya mungu.Leo anahukuma kwa dhambi,anaishi ndani yetu na analinda waokovu na hutufungulia mambo ya mungu.  Mwanzo1:2: Matendo ya mitume5:3, 4: Warumi 88:9-16, 16:7-14.   iii.Shetani. Tunaamini shetani ni mtu na sio mfano wa matendo maovu.Hakuumbwa muovu bali aligeuka kuwa muovu alipojaribu kutenganeza uongozi mbinguni.Anafanya kazi humu duniani lakini atahukumiwa aende jehanamu kuteseka milele.Mwanzo 3:1-5,14-16;job 1,2;isaia 14:12-17;Ezekieli 28:11-19;Mathayo 4:1-11;Luka4:1- 13;peter5:8 yohana 8:44 ufunuo 20:1,2,7-10   iv.Kuumba. Tunaamini ujumbe wa siku sita zilizoandikwa kwenye kitabu cha mwanzo1,2;wahebrania11:3;wakolosai 1:16,17   v.Binadamu. Tunaamini binadamu aliumbwa kwa mfano wa mungu na wala hakutoka kwa enzi za kujiendeleza.Adamu binadamu wa kwanza aliwekwa kwenye shamba la edeni kulilinda.Alipojaribiwa na shetani binadamu alitenda dhambi.Dhambi ilileta kifo kwa binadamu maramoja kwa roho,kuendelea kwa moyo na mwisho kwa mwili wake.Binadamu leo anazaliwa kwenye dhambi.Hivyo basi anahukumiwa na Mungu na hawezi kurudisha upendeleo wa mungu kwake.Mwanzo1:26-28,2:2- 25,3:1-24;Warumi 3:10,23;Wagalatia 2:16;warumi 5:12-14   vi.Wokovu Kwa sababu ya dhambi,watu wote wanahukumiwa mbele ya mungu na wanahitaji wokovu.Binadamu hawezi kuwa mzuri kabisa au kufanya matendo mazuri kujipatia wokuvu.Yeye hawezi kujiokoa mwenyewe.Hivyo mungu alitengeneza njia ya kulipa dhambi nah ii ilikuwa kupitia damu ya mwana wake.Yesu kwa kifo chake alitimiza mapenzi ya Mungu mtakatifu.Kuegemea uzuri wa yesu,Mungu anawaita watu wapokee wokovu.Wokovu unatokana na mapenzi ya mungu wala si kupitia uwezo wa binadamu.Mungu anawaita binadamu watubu dhambi wapate uaminifu wa yesu kristo.Tunaamini ulinzi wa milele wa wokovu. Mariko 10:45;Isaiya 45:22,Yohana 3:17,18;waefeso 2:8,9;Warumi 5:15-23,Tito3:5 Wahebrania 10:45 Yohana 10:10-18   vii.Kanisa. Tunaamina kuwa kanisa ni ya waumini wa hapa waliobatizwa na kukubaliana pamoja na injili ana ofisi mbili ya muhubiri wasaidizi.Hao watu lazima wawe wamefaulu kulingana na maandiko.Tunaamini kuwa wenyeji wa kanisa yako wanastahili waishi maisha tofauti nay a dunia nay a mungu.Kanisa inaangalia maneno mawili,ubatizo na meza iliyoandaliwa na yesu.Hayo yote yanaangaliwa kwa agano jipya la kanisa.Tunaamini kuendelea kwa kanisa kutoka siku ya yesu.Mathayo 16:16,19;mathayo 28:18/19;Warumi6:4,5;matendo ya mitume 1:8 1 Timotheo3:1-13;1wakoritho11:20-34;2Wakoritho6:13-18   viii.Mambo ya mwisho. Tunaamini kurudi kwake yesu kristo kuchukua watu wake peponi.Tunaamini kuteseka kutaikumba dunia yote.tunaamini kurudi kwa yesu duniani,tunaamini uongozi wa yesu baada ya hapo,shetani atatupwa kwa shimo kwa muda mfupi.hapo nguvu zote za shetani zatashindwa na mbingu mpya na dunia zitajengwa.1Wathesalonia4:13-18 1wakoritho16:51-57,ufungua wa yohana19- 22,Zacharia 14:4;mathayo24   ix.Mataifa ya milele. Tunaamini kwa mataifa ya milele,jehanamu mahali pa kuharibu milele,na kuadhibiwa wasiotubu dhambi,waliokataa kujitolea kwa mungu kwa wokovu wa dunia.mbinguni mahali pa kupumzikia milele ambapo kwa wale waliookoka kwa rehema ya bwana watakaa naye milele.Watu wote wataenda mojawapo wa hizi mahali kulingani na wajibu wao kwa yesu kristo Luka16:19-31;methali 15:24;Ufunuo wa yohana 20:10-15;zaburi 9:17;Mathayo 8:12,Yohana 14:1- 6,ufunuo wa yohana 21,22 © 2010 Hakuna upendo mkubwa kwa huduma