Messages from the Word of God by Br. David Nelson, Evangelist Available bi-monthly on cassette or CD. All materials free as the Lord provides. Messages from the Word of God by Br. David Nelson, Evangelist Available bi-monthly on cassette or CD. All materials free as the Lord provides. © 2010 Hakuna upendo mkubwa kwa huduma UKOMBOZI 1 Petero 1:13-21 Ujumbe wetu  unaweza kupatikana  katika kitabu cha petero mlango wa kwanza. Nawaalika  mwanza kusoma na mimi kwenye kifungo cha kumi na tatu na musome hadi kifungo cha ishirini na moja.  Somo linasema tayarisheni mawazo kwa jambo lolote kwa kuwa tayari kwa kuweka tumaini kwa mwisho wa rehema  ambayo italetwa wakati wa ufunuo wa Yesu kristo;Kama watoto msidandanye kwa kujua  tamaa iliyopita .Lakini aliyekuita ni mtakatifu kwa hivyo uwe mtakatifu kwa mazungumzo kwa sababu imeandikwa kuwa mtakatifu kama vile mimi ni mtakatifu.Na ukiita Baba Yule ambaye anahukumu kulingana na matendo yako  tenda kwa uwoga maisha yako yote gerezani  kwa kuwa unajua bado haujakombolewa kwa vitu visivyo halali kama shahada na dhahabu hutokana na maelezo hasiyo fanikiwa  yanayochukuliwa na utamaduni kutoka kwa  akina baba wenyu. Lakini kwa damu ya Yesu kristo kama kondoo isiyo na alama ama dosari. Alijulikana kabla ya kuumbwa kwa dunia lakini alishuhudiwa siku za mwisho. Ni kwa njia yake tunaamini Mungu aliyemfufua kutoka kwa kifo na kumpatia sifa,kuwa amani na matumaini yaweze kuwa kwa Mungu. Tuwekeni roho zetu pamoja Kwa maombi tuulize mungu abariki somo na mahubiri ya neno lake. Baba yetu aliye binguni,tunakuja mbele zako kukueleza tunataka usaidizi wako. Nataka usaidizi wako kwa kuhubiri  neno lako kwa njia ambayoitakupendeza   machoni mwako .Wale ambao wanasikiliza ,Baba,wanahitaji msaada wako waelewe na kutimiza  neno lako. Tunakungoja mbele yako na tunaomba utaingia kwa roho  zetu sanasana kwa wale ambao hawajui  uwokovu wako.Heri iwe siku hii,heri iwe wakati huu watakao kulilia. Tunakurudishia shukurani kwa wataki huu,na tunakuomba utukuzwe.Tuanaomba  katika jina la Yesu kristo .Amina     Kuna ukweli  mwingi mzuri kwa ujumbe huu ambao utasaidia kutia maanani kila mlango una mahali mwingi ambayo inahitaji masomo. Nataka  tutie maanani sanasana kwenye  kifungo cha kumi na nane na kumi na tisa na tuangalie mada ya ukombozi . Bibilia ina maneno mengi kihusu uwokovu. Maneno machache ya maneno haya ni kuokoka,uhai usamehevu,utoshelezi na uwokovu.Ukombozi ni neno lingine kubwa kwa maneno haya. Maneno haya yote yanatofatiana katika uwokovu.Nimepata kuwa  watu wengi hizitumia bila kujua maana zao vilivyo kivyao. Mara nyingi tunahisi vibaya kwa kuyabadilisha kwa kutojua tofauti baina yao. Tunahitaji kusoma  tujue maana ya kila neno.Hii itatupatia  kuelewa vizuri  vile mungu ametufanyia .Baadaye tunaweza kushika  upendekezo wa rehema yake.Ukombozi ni mojawapo wa mada zinazopendekeza zinazopatikana katika bibilia .Maelezo ya bibilia yanaweza kumalizika kwa wazo mbili rahisi.Wazo la kwanza ni uharibifu .Hii ndiyo ilivyotendeka kwa binadamu ambapo dhambi ilivyo ingia. Wazo la pli ni ukombozi .Hii ni ileYesu angetenda kwetu kwa damu iliyomwagika msalabani.        Kuna mahali matatu ambayo ninataka kupitia kwa ujumbe huu tukijaribu kuingilia ndani kwa mada  hii. Kwanza tunazugumzia picha ya ukombozi.Ni nini inakuja kwa akili zetu wakati ukombozi unaogelelewa. Ya pili ni ukombozi nitaeleza bei kama unaenda kukombolewa lazima kuwe na pesa tunayolipa .Ya mwisho nitaeleza  kuagiza.Ni nini bibilia inatufunza kuhusu wale ambao wamekombolewa? Haya ni mawazo ambayo nitajaribu kuyaendeleza kwa usaidizi wa mungu.  Kwanza hebu tufikirie kuhusu picha ya ukombozi ilivyochorwa .Neno ukombozi kwa ujumbe wetu unabeba mawaidha ambayo mtu amepata uhuru. Tukitaka kuelewa uhuru  lazima tuanze na mtu aliyefungiwa. Mfungwa.Waza na mimi mfungwa kwa sokoni kubwa.Ndani ya hii soko kuna uhai wa manaume ,wanawake ,wavulana na wasichana .Matajiri wako pamoja na makisini .Wanaojulikana  wako na wasiojulikana .Waliona na nguvu na wanyonge. Kwa ukweli ndani ya hiyo soko kuna uhai wa watu tofauti kutoka mwanzo wa kuumbwa hadi wakati huu. Kuna watu wanakata picha hili watasema “hii ni ujinga, sijawahi kuwa katika ufungwa”. Ninakubushwa vile Yesu Kristo alivyosema kwa wale walivyosema hivyo kwake.Tulisoma majadiliano katika injili ya Yohana mlango wa nane,Yesu alisema kwa kifungo cha thelaThini na mbili “Mtajua ukweli  na ukweli itawaweka huru. Hii iliwakasirisha wengi  ka wasikilizaji wao .Walimjibu vikali kakika kifungo cha thelethini na tatu.”Sisi ni   watoto wa Abrahamu na hatujawahi kuwa katika ufungwa; mbona unasema watawekwa kuwa huru?”  Jibu la Yesu itatuonyesha kifungo tunachoongelea kifungo cha thelathini na nne alisema “ukweli ukweli ninawaeleza anayefanya dhambi ni mfungwa”. Kwa maneno haya Yesu alitoa shida kubwa kwa binadamu. Nashangaa kama umewahi kujifikiria kuwa mtumwa,mfungwa wa dhambi.Bibilia peke yake inatueleza katika Warumi mlango wa tatu kifungo cha  ishirini na tatu .Kwa wote wametenda dhambi kwa kuwa  mbali na utukufu wa mungu. Tunasoma katika  nyakati  saba kifungo cha Ishiirini”Hakuna mtu  mzuri kwa hii dunia  asiyetenda dhambi “Mungu aliyetuumba ndiye anayeongoza hii dunia.Anaweka kipimo kwa kupita na kuanguka kwa binadamu . Tukiangalia kwa sheria zake takatifu tunaona tukisimama  mbele zake  tukikataliwa .Wengi walichekelea ukweli huu na hali walijipata wasivyoweza kujieleza  ama  kutoroka kwa kuhisi vibaya rohoni mwao.Ndiyo ,dhambi imetuleta ndani ya soko ,dhambi inatushika kama wafungwa. Baada kuna wengi wanapinga, wanasema,”Ninaweza kuwa mimefanya dhambi maishani mwangu lakini mimi ni mtu mzuri .Hivyo Mungu atanikubali.”Wacheni niwapatie mfano mzuri  itadhibitisha ukweli  wa hilo wazo .Mfano umepelekwa mbele  ya jaji kwa kosa ndongo. Anapoanza kusoma hukumu kwako , tafakari unaanza kujidai kuhusu vile wewe ni mtu mwema . Anaweza kukudhibitisha uzuri  wako,lakini hayo hayamhusu, umevunja sheria na lazima uhukumiwe vilivyo. Haya yote ni ukweli ukija kwa sheria ya Mungu.Tunasoma kwa Yokubu 2:10”Yule ambaye ataweka sheria na afanye kosa moja  yeye ana aibu kwa yote”  Kama tumefanya kosa popote tuko na hatia mbele ya Mungu”  Tulisoma pia katika Wagalatia 3:10”Kwa wengi waliokuwa kwa kazi ya sheria yako kwa laana kwa kuwa imeandikwa.Mlaani ni Yule ambaaye si kwa mambo yoyote imeandikwa kwa kitabu cha sheria watimize”  Tunapoangalia sheria ya Mungu  tunaona ukweli wa moyo wetu.Tunaona kifungo ambayo tumejiletea. Dhambi inatufunga minyororo. Tunashidwa kujiweka huru .Tunatumia siku zetu kwa kutokuwa na mwelekeo bila maana ama sababu ya maisha. Ni aje ujinga kwa matendo ya wengi walio ndani ya soko,wanatumia wakati wao wakijilinganisha na wengine na kujidai vile wao ni bora  Wanaaguka kuona wako chini ya laani. Mungu sio mheshimu wa watu.  Yeye ni jaji wa haki ambaye atashawishiwa na hali ya mtu. Mambo haya yanaweza badilisha  hukumu kwa jaji wa dunia lakini hayawezi shawishi jaji wa mbinguni  Vile ninavyo omba kama uko kwa kifungo,kwa soko la dhambi utaona hali yako ya kutokuwa  na mwelekeo . Ndiyo,hii ni picha ambayo tunaanza nayo. Tuendeleeni kwa wazo la pili la ujumbe letu.BEI.  Kama wafungwa wote wale waliokuwa kwa soko la dhambi la kuuza.Kuna mambo mengi yanatupatia tumaini ya kununua na kuchukua upande wa wale ambao wako hapo. Tusimameni na kusikiliza wakati hizi ununuzi unapotendeka. Kwanza ,utajiri  unaingia “Nini unaweza kunipa?wengine waliuliza utajiri. Utajiri unajibu “Nitakupatia  nyumba nzuri ,nikuwezesha uwendeshe gari nzuri.Ninaweza kukupa heshima kwa jamii. Ninaweza kuweka mahali  pako na watu watakaofuata .Hii na mambo mengine yatakugoja kama utajiuza kwangu” Wanadhani hii itaweka maisha yao ndani ya ufungwa wa sokoni kuwa nzuri kwa hivyo wanasema kuwa ni maagano.Nitajiuza kwako .Tunaona vile  utajiri unapeleka walionunua kwa mahali tofauti  sokoni ilhali haiwezi kuwaweka huru. Pili somo linaingia “Nini inaweza kulipa “wengine waliuliza  Masomo itasema “Nitakupatia  kuelewa kwa mambo  ya maajabu ya dunia nitakupatia jadi utajulikana. Nitakuweka kwa hali ambayo wengi wataongea kukuhusu  kwa heshima.Upendekezo wako utafika mbali vile hauwezi amini. Wengi haraka walijibu”Hiyo ndiyo natamani.Najiuza kwako .Tena tunatazama wale ambao wamejiuza kwa masomo wakisonga ndani ya soko la ufugwa. Tukiendelea kuangalia raha inaingia “Nini unaweza kunipa?  Swali linaulizwa tena ”Nitakupatia raha za dunia Kama hujawai jua .Niko na vitu vingi vya kukupatia yoyote umeshuhudia unatamani. Ninaweza kukupa   pombe, madawa, usherati na mengine mengi. Ma mia ya kukosa nidhamu itakuwa kwako unavyoendeleza..Hebu jiuze kwangu na utajua ukweli wa maisha. Adadi ambayo raha huweka ni uwongo lakini wengine wakitaka hujiuza kwake, tunatazama moyo zao maskini wakiingia upande mwingine wa sokoni. Tena dini inaingia kwa ufadhaiko wa moyo ndani ya sokoni,Nini unaweza kunipa?wanauliza kwa kutosheka na utoleaji wowote Dini inajisimamia na inasema kwa sauti nyenyekevu “Ninaweza kukuweka mtu mwema kwa jamii majirani wako watakuchukua mfana mzuri kwa watoto wao Nitakupatia  uwongozi kanisani .Utaweza kujua  kuomba  na kutenda utamaduni Wengine walisema  “Nitajiuza  katika dini tena tunawatazama moyo hizi kavu zilichukulika na kupelekwa mahali tofauti katika sokoni. Wengine wengi wanakuja na wanakaa ndani ya soko, kila mtu anatembea   ndani ya soko lakini hatoki nje (wamechagua njia tofauti lakini njia hizi zote zitakutana pamoja .Moja kwa moja wanafika mahali kwa mlango mkubwa umeandikwa kifo. Mwisho kila mmoja anafikiria “Nitatoka ndani ya soko hili nitayaacha haya maisha mabaya nyuma. Nini ambayo iko ndani ya mlango imejadiliwa kwa miaka yingi na wale waliokuwa sokoni .Lakini wote wanatii maanani kile ambacho kiko hapo. Mbele ya mlango inaonyesha kifo kwa waliokosa matumaini milele na ambao wanamaliza kwa huzuni wanapata mazao ya kutoheshimu Mungu muumba “Kuna njia lingine?”Wengi walilia Kwa uchungu, Ghafla sauti inasikikana “Muokoe kwa kutoenda chini kwa taka: Nimepata ukombozi.”Agubu33:24 Sasa ndani ya soko lingine anakuja kuuliza moya za watu.Yeye si kama wale waliokuja kitambo  mwenye soko wanakasirika kwa kumuona na anakimbia na minyororo kumfunga .Lakini minyororo ya shetani haina faida mbele ya nguvu ya Yesu kristo.Yeye ni mshindi mbele za nguvu zote za wadhaifu. Kujitolea kwake ni tofauti kwa wao wote waliokuwa hapo mbele.Tunaogelea siyo kwa kutosongea katika sokoni ni kwa uhuru.  Tunasoma kwa Wagalatia 4:4, 5. ”Lakini kwenye wakati wote  umefika Mungu alituma mtoto wake aliyezaliwa kutoka kwa mwanamke ilivyowekwa kwa sheria  kuwakomboa wale waliochini ya sheria  ndiyo wapate Yesu” Pesa ni bei inalipwa kwa sababu Yule aliyo kifungoni aweze kukombolewa. Unaweza kusema ni nini kitu cha dhamana vile mtu huyu anajitolea kuilinda hilo kitu.Ninashagazwa sana na dhamana ambayo watu huweka kwenye vitu vya dhamani. Nasikia mamilioni ya dola yanayotumika kwa kupaka rangi .Wakati mwingi huwezi sema rangi inatakikana kwa nini.Itaonekana kama ni kazi ya mtoto ya kupaka rangi kwa viatu. Usikose kunielewa,kama mtu ana pesa na anadhamini kazi ya uchoraji  wana uhuru wa kununua.Kwa urahisi nasema  kuwa kitu cha dhamana kwa mtu  siyo cha dhamana kwa mtu mwingine. Zaburi aliongelea kuhusu ukombozi wa moyo.Aliandika kuhusu dhamana Zaburi  49:7 Akisema  hakuna mtu yeyote  anaweza kumkomboa ndungu yake ama apatie Mungu inavyostahili kwa ukombozi wa moyo wao ni ya dhamana na haiwezi rudi nyuma milele.Kama ukombozi wa moyo ni ya dhamana ilivyondikwa hapo dhamana ya bei inayolipwa.Tia maanani  kwa hayo maneno tena Bibilia  inasema kifungo cha kumi na nane “kwa mengi unayajua umekombolewa na mambo ya ufisadi kama shahada na dhahabu. Pesa zote duniani hazitoshi moyo wa mtu mmoja.Pesa unayolipa lazima iwe ya dhamana kubwa. Ni nini bei ya furaha aliyolipwa kwa ukombozi?Tusome kwa kifungo kinachofuata Petero alisema tumekombolewa  siyo kwa shahada na dhahabu lakini na njia ya Yesu kristo wa kondoo isiyo na alama wala dosari.Ndiyo damu ya Yesu  kristo ilikuwa bei ya dhamana iliyolipwa ndivyo roho zetu zikombolewe kotoka kifungo cha dhambi Haijawahi kuwa na damu ya Yesu iliyokuwa takatifu kama yake  haikuwa kwa damu ya watu wengine ilikuwa kwa damu ya Mungu. Paulo alisema  hivyo alipokuwa akiwaanga wenyeji wa kanisa kwa Waefeso tulisoma kwa Matendo ya mitume 20:28”Tia maanani  kwako na kwa wanyama wote ambayo roho mtakatifu imekuwezesha kuomba mbele, kulisha kanisa la Mungu ambayo alinunua na damu yake Ndiyo damu yake haina dasari.Damu yake ni ya dhamana.Ni kwa damu yake pekee ndiyo tunaona  bei  ambayo inatosha kutukombooa . Mapenzi ya dhati na upendo ilionyeshwa kwetu wakati Yesu aliiacha nyumbani kwake  kwa furaha kwa sababu ya kwenda kwa msalaba mzee kuaga kwa dhambi zetu. Alimwaga damu yake ndiyo tukombolewe. Viungo vya maneno vinatoa ukweli kwetu. Tulisoma katika Wakolosai1:14 “Ambaye tutamkomboa  katika damu na kusamehewa kwa dhambi” Tulisoma pia katika Waefeso 1:7 “Ambaye tutamkomboa katika damu  na kusamehewa kwa dhambi kuligana na utajiri na wema “Mbele katika kitabu cha  Waheburania 9:12 Wala kwa damu ya mbuzi na ndama lakini kwa damu yake aliingia ndani katika  mahali takatifu,anapopata ukombozi kwetu milele.  Yohana alikuwa na wafuasi wa binguni katika Ufunuo wa  Yohana 5:9 “Na aliimba nyimbo mpya wakisema  waliostahili ni wao waliochukua kitabu kuifungua na kuifunga kwa kuwa wewe ni muuwaji  kwa damu yako na umetukombowa kwa Mungu kwa damu kutoka kwa kila kabila ,lugha, watu na mataifa. Kwa kuwa wengi hawaoni umuhimu wa sadaka kwa maisha yao . Sababu ni rahisi hawajioni kama wenye dhambi .Ni wakati huu unapojiona kama mwenya dhambi ndiyo unahitaji sadaka  Tuko na shuguli nyingi ya kutafuta watu walifungwa na dhambi sokoni, Tunatumia wakati wetu kujilinganisha na wengine tulivyoongea hapo mbeleni na tunafikiria tuko vyema  Fikiria kama mototo angezaliwa na alelewe ndani ya gereza. Hiyo tu ndiyo maisha anayoyajua anakaa amefungiwa ndani ya jela. Hajawai ona jua na kukubalika nje .Huyo mototo atafikiria maisha hayo ni kawaida Unajua kumwonyesha kuna mengi ya maisha?Fungua mlango na umwachie huru  Nataka kuuliza swali umewahi tolewa ndani ya sokoni? Unaweza uliza “Unajuaje umewahi pata huru kutoka  kwa ufungwa uliokuwa ndani ya soko la dhambi Uhuru tutoka kwa dhambi  kutoka kwa aibu na huru kutoka kwa ufungwa uliokuwa ndani ya soko la dhambi Kama hujui uhuru ni nini hautakuwa umewachwa nje Kuna bei imelipwa  kulinda uhuru wako  na ukitubu kwa Mungu kuna usamehevu  na huru.Deni yako imeshalipwa  Mungu amenyosha huruma na rehema kwa sababu vile Yesu alivyofanya Alimwaga damu yake kutukomboa kutoka nje ya soko Alifufuka kutoa kifo na sadaka yake ikakubalika na baba aliyejuu. Waliomsikiliza walipata utajiri kwa rehema yake leo Hebu sasa tuangalie kuhusu wazo la mwisho “Ununuzi”  Tunakombolewa na damu yake yesu, Mungu anatutuma.Bibilia inatuambia ametununua kutulinda  Tulisoma katika Wahiburania 9:12 Si Kwa damu ya mbuzi wala ndama wala ni Kwa damu iliyoingia mahali patakatifu   ilivyo tukomboa milele hakuna tena nitajiweka Kwa kujiuza .Nimenunuliwa na Mungu ile iliyonunuliwa lazima aitunze.Paulo aliambia kanisa kwa Korintho katika Wakorintho 6:19-20 Nini?Ujue kuwa mwili wako ni kanisa la roho mtakatifu  ambayo iko ndani yako ambayo tunayo ya Mungu na siyo yetu. Kwa umenunuliwa na bei kwa hivyo msifu Bwana kwa mwili na roho ambayo ni ya Mungu  Sina kitu changu tena Mungu aliyejuu ndiye mlinzi wangu Kwa kuwa amenunua sina haki ya kuangalia kitu ambayo Mungu aniruhusu niangalie sina haki ya kunena ambaye hataki niseme Sina haki ya kwenda popote ambapo hataki niende  Ilani vile Petero alisema kwa ujumbe katika kifungo cha kumi na sita aliituita watakatifu kwa sababu yule aliyetununua ni mtakatifu. Paulo alisema hii Ukweli alivyo andika kwa Tito 2:11-14 kwa rehema ya Mungu inayoleta uwokovu alitokea kwa watu wote kutufunza tujinyime vitu visivyo vya Mungu, tamaa ya vitu vya dunia lazima tuwe sawasawa, watenda haki na watakatifu kwa hii dunia.Tukiangalia kwa matumaini iliyobarikiwa na kuonekana vyema kwa mungu na mkomboaji Yesu kristo.Ambaye alijipatia kwetu ndivyo atukomboe kotoka kwa shinda zote na kutuosha kwa kazi nzuri. Najitolea kufanya matendo mazuri ambayo mungu anayo kwangu ndiyo maana ameninunua Wazaburi walisema  Zaburi 107:2 :Wacheni wakombozi wa Mungu waseme ambao amewakomboa kutoka kwenye mikono ya adui(.131)Nafasi nzuri ambayo tunaweza kunena ni ukombozi wa Mungu kwa hii dunia ambapo inahitaji sana kusikia wale ambao wako ndani ya ufungwa wa dhambi wanatakikana kujua uhuru ilivyokuwa kuhusu rehema ya Mungu na damu ya Yesu kristo. Ukombozi uliokuwa wetu kupitia Yesu kristo aliyetupatia matumaini lakini hiyo sio yote kuna matumaini kwa maisha pia Kuna siku kubwa ambapo mungu atamaliza ile alianza.  Paulo aliongea alipoandika kwa waefeso 1:13,14 Kwa yule anayeamini baada ya hapo atapata ukweli wa injili ya wokovu wetu pia kwa walioamini wamajazwa na roho mtakatifu iliyoahidiwa.Hii ni mwanzo wa upokeaji hadi ununuzi wa ukombozi kwa kumsifu Bwana Ni nini anaongea ya kukombolewa?Swali inaulizwa kwetu kwa kitabu cha Warumi Paulo aliandika Warumi 8:22-23 kuwa tunajua dunia yote inaendelea kwa uchungu hadi sasa na sio wao tu hadi sisi ambao ni matokeo ya roho hata sisi wenyewe tunahuzunika ndani yetu tukingojea kukombolewa kwa mwili wetu. Ndio Mungu hatakomboa moyo wetu pekee amekomboa pia mwili wetu kwa matumaini tunaangalia mbele kwa wakati ambapo mwili wetu utabadilika na kuwa kama mwili wa kumsifu. Ayubu aliangalia kwa ajabu mambo hayo ya ajabu alisema Ayubu19:25, 26 kwa kuwa najua mkombozi yuko na atasimama hadi siku ya mwisho ya dunia na hapo baada ya wadudu kuharibu ngozi ya mwili hapo kwa mwili wangu nitaona mungu.Naomba tumaini iwe uhai kwako. Ninataka kufunga kwa maneno ya zaburi alipoongea kwa ukombozi wa Mungu aliandika kwa Zaburi 103:1-4 msifu Mungu na yote yaliyo ndani kwangu,bariki jina lake moyo wangu na asisahau faida zote ambazo amesamehea; anaponya magonjwa; ambaye anakomboa maisha yetu kutoka kwa taka ambayo inaonyesha mapenzi yake na huruma  Natumaini moyo zenu zibariki mungu tukiangalia ukombozi. Vile naomba kama hujakombolewa leo itakuwa siku ambayo utaliita neon la Mungu na kupata wokuvu.  Baba aliye mbinguni tunaleta ujumbe wetu wa kufunga.Vile roho zetu zimewekwa kufurahi na kufikiria vile Yesu kristo ametutendea naombea wale waliosikiliza neno lako ambao hawajawahi kukombolewa.Naomba roho mtakatifu awashawishi na awaonyeshe mahitaji yao  Baba heri wakulilie kwa rehema iliyo kwa Yesu kristo. Naomba kwa wale wamekombolewa na tufurahie kwa rehema ambayo imetuonyesha tuweza kueleza walio karibu nasi.Naomba haya kwa jina la Yesu Amina.